Makala: Mfanyikazi wa Umoja wa Mataifa auuawa katika shambulio Goma
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 913
Описание:
#goma #unicef #rdc
Mahakama ya ugaidi nchini Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu tukio la ndege isiyokuwa na rubani, iliyotekeleza shambulio jijini Goma, Mashariki mwa DRC Machi tarehe 11 na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo Mfaransa, Karine Buisset, aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Kimataifa la UNICEF .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: