Mkapa ailaumu serikali ya Burundi kukwamisha mazungumzo ya amani
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-10-25
Просмотров: 704
Описание: Rais mstaafu wa Tanzania na mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, Benjamin Mkapa amesema serikali ya Burundi imekuwa ikikwepa kuhudhuria mkutano wa usuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini humo na mara kwa mara imekuwa ikitoa sababu ambazo hata inapopewa muda inashindwa kutekeleza ahadi ya kuhudhuria.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: