JE , WAJUWA MAANA YA ARDHI ?
Автор: NJOMBE TC
Загружено: 2026-01-28
Просмотров: 267
Описание:
Je, unafahamu maana halisi ya ardhi na umuhimu wake katika maendeleo ya jamii?
Ungana na mtaalamu wa Ardhi na Mipango Miji wa Halmashauri ya Mji Njombe Ndg.Emmanuel Luhamba kwenye mjadala utakaokupatia maarifa na uelewa mpana kuhusu masuala ya ardhi.
Kupitia uzoefu na taaluma yake, utapata ufafanuzi wa kina kuhusu dhana ya ardhi, matumizi sahihi ya ardhi, mipango miji, pamoja na mchango wake katika maendeleo endelevu ya miji na ustawi wa wananchi. Hii ni fursa kwa mwananchi kujifunza, kuuliza maswali ili kuongeza uelewa wako kuhusu rasilimali hii muhimu ya Ardhi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: