Ramadhani na Malezi ya Watoto | Jinsi ya Kuitumia Ramadhani Kukuza Maadili ya Watoto Wetu
Автор: IKHLA
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 199
Описание:
Ramadhani ni mwezi wa ibada, lakini pia ni shule kubwa ya malezi.
Katika darsa hii muhimu, tunajadili kwa kina jinsi wazazi na walezi wanavyoweza kuitumia Ramadhani kuwalea watoto katika maadili mema, imani thabiti, na tabia njema zitakazodumu hata baada ya Ramadhani.
📌 Mada zitakazogusiwa ni pamoja na:
Ramadhani kama shule ya malezi ya watoto
Jukumu la wazazi katika kulea kwa mfano (role model)
Malezi ya subira, nidhamu na huruma kwa watoto
Umuhimu wa Qur’ani katika malezi ya watoto
Nguvu ya dua katika malezi, kwa mujibu wa Qur’ani na Sunna
Mifano ya Mitume walivyowaombea dua watoto wao
📍 Mahali: Masjid Al-Amiin, Kibweni Juu
🗓 Tarehe: 26/02/2026
🕰 Muda: Baada ya Swala ya Laasiri
🎙 Mhadhiri: Ustadh Said Ali Yunus
🏫 TaasisI: Ibn Khaldun Learning Academy (IKHLA)
🔴 Mubashara kupitia:
IKHLA Insights & Riyadh Online TV
📺 Usisahau:
👉 Subscribe
👉 Bonyeza alama ya kengele
👉 Shiriki darsa hii ili iwe sadaka endelevu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: