Family Gospel Music (FGM) - NOTENDA (official video)
Автор: Family Gospel Music
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 2290
Описание:
Ndugu mtazamaji, tunakusalimu kwa jina la Yesu Kristo!
Wimbo #NOTENDA, unamaanisha #NITASEMA kwa Kiswahili, Ni wimbo unaoelezea hisia nyingi kuhusu jinsi Yesu Kristo alivyokuwa mwema maishani mwetu na jinsi alivyoshinda mipango ya shetani. Hakika, Yesu anatuokoa na kutubariki.
Na wimbo huu unaashiria mwanzo wa kazi yetu (FGM). Kwa hivyo tunaomba utufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii, na usikilize wimbo wetu kwenye majukwaa yote ya kidijitali.Usisahau ku-like, ku-subscribe kwenye channel yetu, ku comment na ku-share!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: