1. KUPATA UHURU WA FEDHA KIBIBLIA
Автор: Xeptone
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 295
Описание:
NAMNA YA KUPATA UHURU WA KIFEDHA KIBIBILIA.
KUNA WATU WENGI SANA DUNIANI WALIO CHINI YA UMASKINI KULIKO WALE WALIOKO CHINI YA DHAMBI.
……………………………………………………………………………
MUNGU ANATAKA KUTENGANISHA NAFSI YAKO NA FEDHA
1. NI WAKATI TABIA YA MOYO WAKO, HAITAWALIWI NA KUWEPO AU KUTOKUWEPO KWA FEDHA BALI ITAWALIWE NA ROHO MTAKATIFU.
MATHAYO 6:21 👉🏽 kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako. Jicho Kamili
WIZARA YA FEDHA NI HAZINA
FEDHA INANGUVU KULIKO MOYO WAKO IKIWA IPO AU HAIPO.
LUKA 18:18-30 👉🏽 Tena, mtu mkubwa mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?
19 Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu.
20 Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako.
21 Akasema, Hayo yote nimeyashika tangu utoto wangu.
22 Yesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate.
23 Lakini aliposikia hayo alihuzunika sana, maana alikuwa na mali nyingi.
24 Yesu alipoona vile alisema, Kwa shida gani wenye mali watauingia ufalme wa Mungu!
25 Kwa maana ni vyepesi ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
26 Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
27 Akasema, Yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu.
28 Petro akasema, Tazama, sisi tumeviacha vitu vyetu vyote na kukufuata.
29 Akawaambia, Hakika nawaambia, hakuna mtu aliyeacha nyumba, au mke, au ndugu, au wazazi, au wana, kwa ajili ya ufalme wa Mungu,
30 asiyepokea zaidi mara nyingi katika zamani hizi, na katika ulimwengu ujao uzima wa milele. Yesu Atabiri kuhusu Kufa na Kufufuka kwake kwa mara ya tatu.
MUNGU ANA WIZARA ZAKE.
MUNGU HAWEZI KUWEKA KANISA BILA BAJETI.
PIA HAWEZI KUWEKA HUDUMA BILA PESA.
HIYO BAJETI HAITEGEMI SADAKA.
………………………………………………………………………………………….
2. NI WAKATI UNAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KILE MUNGU ANATAKA UFANYE BILA KUKWAMISHWA NA KUTOKUWEPO KWA FEDHA.
WARUMI 12:6-7 👉🏽 6 Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema mliyopewa; ikiwa unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya imani;
7 ikiwa huduma, tuwemo katika huduma yetu; mwenye kufundisha, katika kufundisha kwake;
…………………………………………………………………………………………….
3. WAKATI UNAWEZA KUWA NA UKARIMU WOTE KUMLETEA MUNGU KWA SHUKURANI.
2 WAKORITHO 9:6, 10 - 11 👉🏽 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.
10 Na yeye ampaye mbegu mwenye kupanda, na mkate uwe chakula, atawapa mbegu za kupanda na kuzizidisha, naye atayaongeza mazao ya haki yenu;
11 mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.
KIBIBLIA KUWA TAJIRI SIYO LENGO NI HAKI YAKO.
KUMBUKUMBU LA TORATI 8:8 👉🏽 8Kumbukumbu la Torati 8:8 nchi ya ngano na shayiri, na mizabibu, na mitini, na mikomamanga; nchi ya mizeituni yenye mafuta, na asali;
……………………………………………………………………………………………….
4. WAKATI MAPATO YAKO NI MAKUBWA KULIKO MAPATO YAKO YA KILA SIKU.
WAFILIPI 4:19 👉🏽 Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.
MAPATO SIYO MSHAHARA, MSHAHARA UPO NDANI YA MAPATO;MAPATO NI MAPANA ZAID YA MSHAHARA.
UNAWEZA KUSEMA SINA KAZI KWA SABABU UJUI KAZI YA VITU ULIVYO NAVYO.
………………………………………………………………………………………………
5. WAKATI UNAWEZA KUISHI KWA KIWANGO KILELE CHA MAISHA IKIWEZEKANA KWA KIWANGO CHA JUU SANA UKIWA MZEE AU UMEACHISHWA KAZI.
WARUNI 1:16-17 👉🏽 16 Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
17 Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani. Hatia ya Wanadamu
……………………………………………………………………………………………….
6. WAKATI SOKONI HAIONGOZI MATUMIZI YAKO YA HELA BALI ROHO MTAKATIFU ALIYE NDANI YAKO.
KWENYE BIBILIA HAKUNA LUGHA YA KUBANA MATUMIZI; NI KITU CHA KIDUNIA HII.
TITO 3:14 👉🏽 Watu wetu nao wajifunze kudumu katika matendo mema, kwa matumizi yaliyo lazima, ili wasiwe hawana matunda.
PESA INAWEZA KUBANA UHURU WAKO.
……………………………………………………………………………………………………
#Mungu_kwetu_ni_kimbilio_na_msaada
#positivemindset
#positivefocus
#positivethinking
#positivevibes
#mwlchristophermwakasege
#stayfocused
#Mungukwetukimbilio
#WeShoitNoMatterWhat!.
#PicturesandLife
#Webringmemoriestolife
#xeptone
#xeptonebrand
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: