Je, ni kweli Usiku wa Mawlid ni bora kuliko Laylatul Qadir? Na je, Laylatul Qadir ni mwezi 27 pekee?
Автор: Manhaj Online TV
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 538
Описание:
Katika video hii ya kielimu na ufafanuzi wa kina, Sheikh Ilyasaa Juma حفظه الله anaelezea suala linalowatatiza wengi: Je, ni kweli usiku wa Mawlid ni bora kuliko Laylatul Qadir? Pia anafafanua dhana iliyoenea kwa baadhi ya watu kwamba Laylatul Qadir ni usiku wa mwezi 27 pekee.
Kupitia dalili za Mtume ﷺ, Sheikh anabainisha ukweli wa masuala haya na kueleza namna sahihi ya Muislamu kutafuta na kunufaika na usiku mtukufu wa Laylatul Qadir katika masiku ya mwisho ya Ramadhani.
🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV
🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp
Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: