MISA YA SHUKRANI KWA DARAJA YA UPADRE YA PD. WILFREDY MARO KUTOKA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI TANGA
Автор: St. Anthony's Cathedral Tanga
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 767
Описание:
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani kwa Daraja Takatifu ya Upadre ya Padre Wilfredy Joseph Maro ALCP/OSS kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua - Chumbageni, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 18.01.2026 kuanzia saa tatu kamili Asubuhi (09:00)
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
[email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: