Jamii ya Gabra humkaribisha Mgeni kwa njia Maalum
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 650
Описание: Jamii ya Gabra inayopatikana kaskazini mwa nchi, ina njia yake ya kipekee ya kumkaribisha mgeni. Jamii hiyo hutumia kipande cha ngozi ya mnyama kutengeza zawadi inayojulikana kama "Medich" ambayo huvishwa mgeni mkononi kama njia ya kumkaribisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: