Ukweli 7 mchungu kuhusu ndugu zako na safari ya mafanikio. ( Ukweli wa 7 utakushtua!)
Автор: SWAHILI MINDSET
Загружено: 2026-02-05
Просмотров: 68
Описание:
Umewahi kujiuliza kwanini ni rahisi kupata msaada kwa mgeni kuliko kwa mtu mliyechangia damu? Kwenye video hii, tunapasua jipu kuhusu uhusiano wa undugu na utafutaji wa mali.
Watu wengi wamefukia ndoto zao na kufilisika si kwa sababu ya uchawi, bali kwa sababu ya kushindwa kuweka mipaka na watu wao wa karibu. Tunajadili kwanini ndugu yako anaweza kuwa breki ya kwanza ya maendeleo yako na jinsi ya kulinda ufalme wako bila kupoteza amani ya familia.
Kama unataka kuendelea kupata silaha za kifikra kama hizi, hakikisha una SUBSCRIBE na unabonyeza alama ya kengele. 🔔
Tuandikie kwenye comments: Umewahi kukutana na changamoto gani ulipojaribu kusaidia ndugu au kufanya nao kazi?
#Mafanikio #UkweliMchungu #Maendeleo #Ujasiriamali #Mtafutaji #Nidhamu #Maisha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: