MASWALI NA MAJIBU - SHEIKH ABUU HAATIM ABDULLAH
Автор: EA DURUUS
Загружено: 2021-08-06
Просмотров: 130
Описание:
💎هذه دعوتنا وعقيدتنا🧊
🎙•MASWALI NA MAJIBU•📚
🕌•MASJID BILAAL BIN RABAAH•🕌
🏔️•BOMANG'OMBE, KILIMANJARO•🏔️
🍃🍃🍃🍃🍃🍃
📚 MASWALI NA MAJIBU BAADA YA MUHAADHARA:
⬇⬇⬇⬇⬇⬇
_________________________________
0⃣1⃣ TUMEAMBIWA KWAMBA MWANAMKE ASITOKE NDANI YA NYUMBA YAKE ILA KWA RUHUSA YA MUMEWE SASA VIPI KAMA MUMEWE AKIMRUHUSU ATOKE AKAFANYE KAZI?.
_________________________________
0⃣2⃣ KUTOKANA NA HALI ILIVYOCHAFUKA JE TUKITAKA KUOA TUMUOE MWANAMKE GANI?.
_________________________________
0⃣3⃣ JE SUALA LA KUWA MWEMA NDANI YA NDOA NI KWA MWANAMKE PEKE YAKE?.
_________________________________
0⃣4⃣ MAVAZI GANI ANATAKIWA KUVAA MWANAUME WA KIISLAMU.
_________________________________
0⃣5⃣ JE ITAKUWAJE KAMA MKE WANGU ATAKUWA KATIKA DARAJA YA JUU KATIKA PEPO NA MIMI NIPO DARAJA YA CHINI?.
_________________________________
0⃣6⃣ NI SWAHABA GANI ALIYESIMULIA HADITHI INAYOSEMA LAU KAMA NINGEMUAMRISHA MTU KUMSUJUDIA MWINGINE BASI NINGEMUAMRISHA MKE KUMSUJUDIA MUMEWE?.
_________________________________
0⃣7⃣ KWANINI SWALA YA IJUMAA INA UTOFAUTI NA SWALA NYINGINEZO?.
_______________________________________
🔰🔰🔰
📆JUMAAMOSI DHUL HIJJAH 28, SAWA NA TAREHE 06-08-2021.
🕝BAADA YA SWALAATUL MAGHRIB.
💺MAJIBU NA🎙
USTAADH ABUU HAATIM 'ABDULLAAH IBN JUMU'AH حفظه الله ورعاه.
-----🔆🔆🔆--
🎙https://t.me/abiyhaatimabdullaahTZ
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: