Mwalimu bora wa CBC Pius Mungai atuzwa na kampuni ya Viutravel
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-06-20
Просмотров: 9619
Описание: Ni mwaka wa saba sasa tangu mfumo wa elimu wa CBC kubuniwa, na licha ya changamoto zake, mwalimu pius mungai kutoka shule ya msingi ya dandora jijini nairobi, anarahisisha masomo kupitia ubunifu kwa kutumia densi na nyimbo darasani. Ubunifu na umaarufu wake mtandaoni umewavutia wengi ikiwemo kampuni ya viutravel ambayo imempa likizo ya siku tatu kuvinjari mji wa kitalii wa mombasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: