Malezi ya Mtoto | EP1| Wazazi Wengi Hufanya Hivi – Lakini Inaharibu Watoto! 🚫
Автор: Familia njema
Загружено: 2025-06-25
Просмотров: 733
Описание:
Je, unajua kuwa kuna mambo tunayowafanyia watoto wetu kwa nia njema, lakini kumbe tunayaharibu maisha yao?
Katika Sehemu ya 1 ya mfululizo huu wa kipekee kuhusu malezi bora, tunazungumzia jambo moja kubwa sana ambalo wazazi wengi hufanya bila kujua lina madhara makubwa kwa mtoto. Hili ndilo jambo linaloweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa mtoto mtoto wako kwa miaka mingi ijayo.
👉 Usikose kuangalia hadi mwisho – huenda ukagundua kuwa nawe unafanya kosa hili leo!
🔔 Subscribe ili usikose episode inayofuata, ambapo tutazungumzia tabia nyingine hatari zaidi kwa maendeleo ya mtoto.
📌 Mfululizo huu ni kwa ajili ya kila mzazi, mlezi, mwalimu na yeyote anayejali watoto.
#MaleziBora #UsimfanyieMtoto #Wazazi #Episode1 #UkimyaWaMtoto #ParentingTips #Watoto
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: