ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KABUDI AGEUKA MBOGO, KUKAMATWA KWA BOMBARDIER Q400

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2019-11-23

Просмотров: 1439

Описание: Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 imakamatwa nchini Canada.
Amesema aliyesababisha Bombardier kukamatwa ni Hermanus Steyn, raia wa Afrika Kusini ambaye alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini akidai fidia ya dola 33 milioni.
Kesi hiyo ilisababisha Mahakama hiyo kuizuia ndege ya Tanzania aina ya Airbus A220-300 kuondoka nchini humo Agosti, 2019.
Steyn, anadai fidia baada ya mali zake kutaifishwa na Serikali ya Tanzania mwaka 1980. Hata hivyo, Septemba 3, 2019 mahakama hiyo iliamuru ndege hiyo iliyokuwa imezuiwa katika uwanja wa ndege wa Oliver Tambo kuachiwa baada ya Serikali kushinda kesi bila kutoa fedha yoyote.
Akizungumza leo Jumamosi Novemba 23, 2019 mjini Dodoma katika hafla ya kuapishwa kwa mabalozi, Profesa Kabudi amesema, “ndege imekamatwa na kesi ipo mahakamani. Aliyesababisha ni yuleyule (Steyn) aliyesababisha ndege yetu kuzuiwa Afrika Kusini.”
Profesa Kabudi amesema kuendelea kwa vitendo hivyo ni hujuma za mabeberu wasiofurahishwa na maendeleo nchini.
Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Rais wa Tanzania, John Magufuli aliyewaapisha mabalozi hao, Profesa Kabudi amesema, “tulikwenda mahakamani tukamshinda (Afrika Kusini) akakata rufaa na wiki iliyopita tukamshinda tena, huyohuyo sasa amekimbilia Canada amekamata ndege ya Bombardier Q400 ambayo ilikuwa ifike nchini.”
“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.”
Amesema Balozi wa Tanzania nchini Canada aliitwa nchini na kuelezwa jinsi nchi isivyofurahishwa na kukamatwa kwa ndege zake kila zinapokaribia kuja kuondoka nchini humo.
http://bit.ly/2KM0U1m
“Nimemwambia sio tu kwamba tunasikitika bali tunakasirishwa, na tunafikiri mheshimiwa rais kukushauri kama Canada inaendelea kuruhusu vitu kama hivyo sio wao peke yao wanaotengeneza ndege, hatukufanya makosa kununua ndege Canada, hata Brazil wanatengeneza ndege,” amesema Profesa Kabudi.
Amesema wameandaliwa wanasheria kwenda Canada kuipigania ndege hiyo.Kushikiliwa kwa ndege hiyo kunarejesha kumbukumbu ya ndege nyingine ya Tanzania aina ya Bombardier Q400-8 iliyozuiwa nchini Canada mwaka 2017 kutokana na madai ya Sh87.3 bilioni zilizokuwa zikidaiwa na kampuni ya kikandarasi.
Mabalozi walioapishwa katika hafla hiyo ni Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati (Misri), Mohamed Abdallah Mtonga (Abu Dhabi), Jestas Abouk Nyamanga (Ubelgiji), Ali Jabir Mwadini (Saudi Arabia) na Dk Jilly Elibariki (Burundi).

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KABUDI AGEUKA MBOGO, KUKAMATWA KWA BOMBARDIER Q400

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Pro: KABUDI anajua aise! hotuba yake konki akimzungumzia hayati Mwalimu Nyerere yashangaza wengi

Pro: KABUDI anajua aise! hotuba yake konki akimzungumzia hayati Mwalimu Nyerere yashangaza wengi

Profesa Kabudi awashukia wanaobananga Kiswahili, aitaka Serikali kuchukua hatua

Profesa Kabudi awashukia wanaobananga Kiswahili, aitaka Serikali kuchukua hatua

Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI -

Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"

Для Чего РЕАЛЬНО Нужен был ГОРБ Boeing 747?

Для Чего РЕАЛЬНО Нужен был ГОРБ Boeing 747?

Palamagamba Kabudi: A united Kenya means a united East Africa

Palamagamba Kabudi: A united Kenya means a united East Africa

Beautiful Relaxing Peaceful Music, Calm Music 24/7,

Beautiful Relaxing Peaceful Music, Calm Music 24/7, "Tropical Shores" By Tim Janis

SABABU Za MAGUFULI KUTOHUDHURIA Mkutano Wa UN, Prof KABUDI AELEZEA!

SABABU Za MAGUFULI KUTOHUDHURIA Mkutano Wa UN, Prof KABUDI AELEZEA!

Profesa Kabudi: Niliandika barua ya kujiuzulu lakini ilichanwa

Profesa Kabudi: Niliandika barua ya kujiuzulu lakini ilichanwa

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Как описана ВТОРАЯ МИРОВАЯ в учебниках ЯПОНИИ

Как описана ВТОРАЯ МИРОВАЯ в учебниках ЯПОНИИ

Դավոսյան հանդիպումների արդյունքները. Մեծ բանավեճ

Դավոսյան հանդիպումների արդյունքները. Մեծ բանավեճ

SERIKALI YAMTAJA ALIESABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUKAMATWA AFRIKA KUSINI

SERIKALI YAMTAJA ALIESABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUKAMATWA AFRIKA KUSINI

Отёки уйдут за 7 минут: запускаем лимфу ПРАВИЛЬНО

Отёки уйдут за 7 минут: запускаем лимфу ПРАВИЛЬНО

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

US Army Testing its Newest Drone-Killer Gun For the First Time

US Army Testing its Newest Drone-Killer Gun For the First Time

Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Marekani. part 1

Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Marekani. part 1

NONDO za MWISHO za PROFESA PALAMAGAMBA JOHN AIDAN MKANGALIGWA MWALUKO KABUDI AKIWA WAZIRI wa MICHEZO

NONDO za MWISHO za PROFESA PALAMAGAMBA JOHN AIDAN MKANGALIGWA MWALUKO KABUDI AKIWA WAZIRI wa MICHEZO

URAIA PACHA TANZANIA

URAIA PACHA TANZANIA

Пропала в Гранд-Каньоне. Нашли через 5 лет в пещере: СЕДОЙ и НЕМОЙ!

Пропала в Гранд-Каньоне. Нашли через 5 лет в пещере: СЕДОЙ и НЕМОЙ!

The Insane Startup Operations of the Most Advanced US Stealth Plane Ever Made

The Insane Startup Operations of the Most Advanced US Stealth Plane Ever Made

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]