Wakaazi Kiamutugu waandaa sherehe kwa polisi baada ya kupungua kwa uhalifu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 937
Описание: Kama njia ya kushabikia kupunguka kwa visa vya uhalifu katika eneo la Kiamutugu kaunti Kirinyaga, wakaazi wamejumuika pamoja kuwaaandalia karamu maafisa wa polisi wanaohudumu eneo hilo. Wakati wa sherehe hiyo iliyoandaliwa katika kituo cha polisi cha eneo hilo, wakaazi wametakiwa kujitokeza kama mashahidi baada ya wahalifu kukamatwa, ili kuhakikisha wameondolewa katika ya jamii, na usalama wao kuimarishwa hata zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: