V.C.C MATHARE GLORIOUS TUNES CHOIR -UPENDO WA BWANA
Автор: V.C.C MATHARE GLORIOUSTUNES CHOIR
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 391
Описание: "YOHANA 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele". Wimbo huu unaelezea upendo mkuu, wa ajabu na usio na kipima wa Mungu kwa wanadamu. Ni upendo wa kujitoa wa neema na rehema upendo uliomtoa Yesu Kristo kuwa Dhabihu kwa ajili yetu wanadamu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: