ZAKA ZA KAZI AFUNGUKA UPINZANI WA AZAM VS MTIBWA SUGAR
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 78
Описание:
Meneja wa habari na mawasiliano Thabith Zakaria amesema mechi ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar ina upinzani na historia tangu msimu wa 2011/ 2012 ambapo klabu hizo zilicheza mechi ambayo Mtibwa Sugar ilisusia mechi hiyo kisha Azam ilipokonywa alama 6 msimu huo.
Zakaria amesema hayo katika #Ulive.
#Ufmupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: