DOTTO AWABUSU WAJUMBE NGARA
Автор: CLOUDS HABARI
Загружено: 2025-08-27
Просмотров: 90
Описание:
Mgombea nafasi ya ubunge jimbo la Ngara mkoani Kagera kupitia chama cha mapinduzi CCM Dotto Bahemu amewaomba wananchi katika jimbo hilo kuvunja makundi na kuungana kwa pamoja ili kutafuta kura za chama cha mapinduzi CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29 mwaka huu.
Bahemu ametoa ombi hilo wakati akiongea na wanachi wa chama cha mapinduzi CCM katika ofisi za chama hicho baada ya kupokelewa kwa kishindo kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Ngar
Ndaisaba Ruholo ambae alikuwa mbunge wa jimbo hilo amehaidi kumpa ushirikiano Bahemu ili kuhakikisha anapata ushindi wa kishindo uchaguzi jimbo la Ngara
Pia mgombea nafasi ya ubunge jimbo la Ngara mkoani Kagera kupitia chama cha mapinduzi CCM Dotto Bahemu amemshukuru Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluh Hassan na wana CCM kwa ujumla kwa kumuaamini kuwa mgombea nafasi ya ubunge katika jimbo hilo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: