Mauaji Mkuranga: Muuguzi auawa na kufukiwa pembeni ya nyumba, shangazi asimulia
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-25
Просмотров: 116403
Описание: Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Rosemary Mgombela anadaiwa kuuawa na kisha mwili wake kufukiwa pembeni ya nyumba yake. Shangazi wa marehemu Veronica Mapunda amesimulia ilivyokuwa huku akimshuku mume wa marehemu huyo kuhusika.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: