MAFANIKIO YANAHITAJI MAMBO HAYA I
Автор: Maarifa Academy
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 58
Описание:
Maisha yanakufundisha masomo mazito ukiwa maskini.
Video hii ni motivation ya Kiswahili inayogusa moyo,
ikionyesha uvumilivu, nidhamu, kujitegemea na matumaini
ambayo mtu hujifunza pale anapokosa kila kitu.
Kama unapitia magumu ya maisha, huna pesa,
au unahisi umekwama, ujumbe huu ni kwa ajili yako.
Umaskini sio mwisho, ni maandalizi.
🎧 Video hii ni faceless motivation,
inafaa kwa vijana wanaopambana kimya kimya.
👉 Kama ujumbe huu umekugusa:
👍 Bonyeza LIKE
📌 SUBSCRIBE kwa motivation zaidi
🔁 SHARE na mtu anayehitaji kusikia haya leo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: