Jinsi Zanzibar ilivyolazimika kuingia kwenye MUUNGANO kwa presha ya Tanganyika
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2021-09-19
Просмотров: 9246
Описание:
Katika video hii Ismail Jussa, mwanasiasa na mchambuzi wa masuala ya siasa Zanzibar anachambua jinsi Sheikh Abeid Karume aliyekuwa Rais wa Zanzibar alivyolazimika kuingia katika muungano na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao leo una changamoto na malalamiko lukuki. Kinpindi kamili kilirushwa kwenye chaneli ya Gumzo la Ghassani ambao ndiyo waandaaji wa kipindi hiki.
Shukrani kwa Gumzo la Ghassani kwa kukubali tutumie video zao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: