Alichokifanya Dr Tulia kwa watoto wenye ulemavu Mbeya
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-03-09
Просмотров: 1120
Описание:
March 8, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson alisafiri hadi katika shule ya msingi Katumba II yenye mchanganyiko wa wanafunzi wakiwemo walemavu mbalimbali iliyopo Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya ambapo alienda kutoa msaada wa vifaa ikiwemo baiskeli 10 za walemavu, mafuta ya walemavu wa ngozi, kofia, karatasi kwa ajili ya wasioona
Pia Dr Tulia kwa kupitia taasisi yake ya TULIA TRUST ameahidi kujenga darasa la watoto wenye ulemavu wa akili pamoja na kuboresha miundombinu katika shule hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: