Mji wa Bondo, kuwa kitovu cha fedha cha kaunti ya Siaya kutokana na machakato wa kuinua uchumi
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2024-09-10
Просмотров: 720
Описание:
Serikali imeteua mji wa Bondo kaunti ya Siaya kuwa kitovu cha fedha cha kaunti hiyo. Haya yanatokana na mchakato maalum wa kuinua mji huo kiuchumi na maaendeleo, viongozi wa eneo hilo wakiongozwa na James Orengo wameihusisha benki ya diamond trust kufanikisha hatua hiyo kabambe.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: