DARSA |FAIDA ZINAZOPATIKANA NDANI YA SURATUL FATHA |SHEIKH KOMBO ALI FUNDI
Автор: SHEIKH KOMBO ALI FUNDI
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 189
Описание:
🌙 As-Salaam ‘Alaikum warahmatullahi wabarakatuh
Karibu kwenye ukurasa rasmi wa
Sheikh Kombo Ali Fundi
Hapa utapata:
📖 Mafunzo ya Dini yanayotokana na Qur’an na Sunnah.
🕌 Ufafanuzi kwa ufahamu sahihi wa wema waliopita (Salaf Swaleh).
💬 Fursa ya kuuliza maswali na kupata majibu ya kielimu.
🤲 Nasaha na muongozo wa kuimarisha maisha ya Kiislamu.
Ukurasa huu ni chombo cha elimu, mawaidha na mwongozo, kwa nia ya kumsaidia kila Muislamu kufuata njia iliyonyooka na kupata radhi za Allah Subhanahu wa Ta‘ala.
Hakikisha unatufuatilia kwenye mitandao yote ya kijamii kama Instagram,Facebook,Tiktok,Youtube
Karibu tushirikiane katika kujifunza na kunufaika.
Wabillah tawfiq🤲🏽
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: