Serikali yakalia kimya sakata ya pasipoti za makamanda wa Sudan waliokiuka sheria
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 1943
Описание: Jioni ya leo serikali bado imesalia kimya kuhusiana na utumizi mbaya wa mamlaka katika idara ya usalama na ile ya uhamiaji kwa madai ya kutoa paspoti za Kenya kwa wapiganaji wa Sudan. Wizara hizi mbili bado hazijatoa taarifa yoyote hadi sasa, haswa kuhusiana na vyeti vya usafiri vilivyotolewa kwa wapiganaji wa RSF wa Sudan na hata raia wa Zimbwabwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: