Makala: Tunaangazia mabadiliko yaliofanywa na Rais wa DRC katika baraza lake na mawaziri
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 34457
Описание:
#felixtshisekedi #rdc #cabinet
Juma lililopita nchini DRC, Rais Félix Tshisekedi alifanya mabadiliko katika baraza la mawaziri, mabadiliko yanayoibua maswali kuhusu mwelekeo wa kisiasa, ushawishi wa vyama, na mustakabali wa taifa hilo lenye historia ya misukosuko ya kisiasa.
Kupitia makala haya ya Wimbi la Siasa juma hili, tunaangazia Je, uamuzi wake ni hatua ya kuimarisha utawala wake kuelekea uchaguzi ujao, au ni jaribio la kuleta sura mpya katika uongozi wa taifa?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: