ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kenya Yazua Gumzo: Bahati Avamiwa Baada ya Kuweka Screenshot za Shalkido!

Автор: MIZUKA MEDIA

Загружено: 2025-10-08

Просмотров: 3587

Описание: Bahati ameingia kwenye mzozo mkubwa mitandaoni baada ya kushare screenshot za mazungumzo yake na Shalkido siku chache kabla ya kifo chake. Wakenya na Watanzania wamechemka, wakimuuliza swali moja kuu: Je, Bahati ametumia kifo cha Shalkido kwa clout chasing?

Katika video hii tunakuletea sauti za wananchi – kutoka mashabiki wa Kenya na Tanzania hadi Wakenya walioko diaspora. Wengi wamesema wazi kwamba kifo hakifai kutumiwa kama chombo cha kutafuta kiki, huku wengine wakimtetea Bahati wakisema alikuwa akionyesha heshima na ukaribu wake na Shalkido.

Tazama uchambuzi mzima hapa Mizuka Media, kisha tuambie maoni yako: Unadhani Bahati alikosea au alionyesha tu urafiki wake wa kweli?

👉🏽 Usisahau kusubscribe kwa habari zaidi za burudani, muziki wa Kenya na Tanzania, siasa na lifestyle kila siku.

#Bahati #Shalkido #Kenya #Tanzania #MizukaMedia #Burudani

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kenya Yazua Gumzo: Bahati Avamiwa Baada ya Kuweka Screenshot za Shalkido!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

CHIEF GODLOVE AMVUA NGUO DOTO MAGARI NA MWIJAKU HAYA NDIO MAISHA YANGU MSIANGALIE NYIE NI MACHAWA TU

Kumekucha! Mke wa Jux PRISCY avurugwa atema nyongo baada ya Jux kukiri mtoto ni wake/ ulinidanganya

🔴#BREAKING: 𝑴𝘽𝑶𝙒𝑬 𝑨𝙅𝑰𝙇𝑰𝙋𝑼𝘼 𝙈𝑩𝙀𝑳𝙀 𝙮𝒂 𝑾𝘼𝒁𝙄𝑹𝙄 𝙈𝑲𝙐𝑼- ''CHADEMA WAMEONEWA - 𝗞𝗔𝗢𝗡𝗚𝗘𝗘 𝗻𝗮 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔''

MANA KUKI WANGIZE UMUKENE MVUKA KU MUZUNGU😭SABIN YASUYE ANGELINA N'ABANA BE|PAPA YABATAYE MU RWANDA😥

OGA OBINNA OPENS UP AFTER LOOSING HIS 1 MILLION TO BETTING

JUSTICE MWILU IN TROUBLE... CASE YA GACHAGUA GUTUITHANIO NI SUPREME COURT.

UTACHEKA MAJIBU YA GIGY MONEY KUWA MCHEPUKO WA DIAMOND/AMMWAGIA SIFA ZARI/SIMJUI NANDY NDIO NANI?

Kenya vs Tanzania? Samia Azua Vita Mpya Mitandaoni – Gen Z Wamjia Juu

Kenyan Trending Comedy Compilation Ep28 | Jaymodecin, Mokaya, Njugush, Exodus, Mbilimbili, Dem wa Fb

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

SAILORS : Miracle Baby~Niliosha Maiti | Shalkido ~ Mistari Iliniokoa Kwa Mob Justice Nikiwa Jambazi

Ржал весь Минск! Лукашенко показали ИИ — СМОТРИТЕ на его реакцию

MANGE KIMAMBI azua mapya leo sababu ya DIAMOND kutaka kumchukua mtoto wa HAMISA/ usikubali ni kafara

🔥 HOT: GACHAGUA'S LAWYER NDEGWA NJIRU FIRES BACK AT RUTO OVER OTHAYA TRAGIC DEATHS, ASSASSINATION

То, что Китай строит прямо сейчас, лишит вас дара речи

HAKUNA MTU AMENIBEBEA MAKENDE NITASEMA UKWELI.Nuru Okanga Hammers Oburu Supports Winnie-ODM takeover

КАЗАХСТАНУ УГРОЖАЕТ МОСКВА. США В СГОВОРЕ  / КАБИРИ / АЙСИН / POISTINE

DOTTO MAGARI: AMKATAA HARMONIZE MCHAWI SANA HUYU MTOTO Diamond na Hamisa wamalize umgovi wao DNA....

DIAMOND achafukwa aamua kumjibu QUEEN DARLING baada ya kusema hawasaidii/ nipumzisheni nimewachoka

Visiting Billionaire CHUKA KENYAN PRINCE At His 2 BedRoom Apartment | Flashes Sh.1.4 Million | FOREX

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]