Utamaduni wa vazi la Kaniki Tanzania
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2021-02-11
Просмотров: 2250
Описание: Video ya Kurunzi safari hii inamulika utamaduni wa vazi la kaniki miongoni mwa baadhi ya jamii nchini Tanzania. Je asili ya vazi hili ni wapi? Linavaliwa na kina nani, kwa nini, wapi na thamani yake ni gani? Je ni dhana zipi zilizopo kuhusu vazi hilo na vijana wa leo wanalizungumziaje? Salma Mkalibala na majibu ya hayo pamoja na maelezo zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: