ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ZANROADS YATOA ONYO: HAKUNA UJENZI WALA BIASHARA PEMBEZONI MWA BARABARA

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2025-12-16

Просмотров: 6794

Описание: Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS) imewataka wananchi kuzingatia agizo la kutokujenga wala kufanya shughuli za kibiashara pembezoni mwa barabara, hatua inayolenga kuimarisha usalama, kulinda miundombinu na kuharakisha maendeleo endelevu ya Zanzibar.

Akizungumza wakati wa kutoa elimu na maelekezo kwa wananchi huko Mbweni, Wilaya ya Mjini Unguja, Mkurugenzi Mkuu wa ZANROADS, Ndg. Cosmas M. Masolwa, amesema ni wajibu wa kila mwananchi kufuata sheria na mikakati iliyowekwa na mamlaka husika ili kulinda barabara.

Mhandisi Masolwa ameeleza kuwa zoezi la uondoaji wa vibanda na biashara zilizojengwa kinyume cha sheria pembezoni mwa barabara litaendelea kutekelezwa kwa mwaka mzima. Amesisitiza kuwa mwananchi ndiye mlinzi wa kwanza wa nchi yake, na utekelezaji wa maagizo ya serikali ni msingi wa maendeleo ya kudumu.

Lengo la operesheni hiyo ni kuwajengea wananchi uelewa wa kutosha kuhusu agizo la serikali na umuhimu wa kulitekeleza kwa manufaa ya wote.

#AsamOnlineTV #ZANROADS #Barabara #ZanzibarUpdates #HabariZaLeo #UsalamaBarabarani #Maendeleo #YouTubeTrending

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ZANROADS YATOA ONYO: HAKUNA UJENZI WALA BIASHARA PEMBEZONI MWA BARABARA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SERIKALI YATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MAGARI YA KUBEBA MCHANGA NA KIFUSI

SERIKALI YATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MAGARI YA KUBEBA MCHANGA NA KIFUSI

MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI

MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

OPERESHENI MAALUM YA KUONDOA WAFANYABIASHARA PEMBEZONI MWA BARABARA KINYASINI

OPERESHENI MAALUM YA KUONDOA WAFANYABIASHARA PEMBEZONI MWA BARABARA KINYASINI

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

Mkurugenzi Mkuu wa ZARTSA awaondosha wafanyabiashara waliopo pembezoni mwa barabara.

Mkurugenzi Mkuu wa ZARTSA awaondosha wafanyabiashara waliopo pembezoni mwa barabara.

LAZIMA WANANCHI WALIPWE KWA MATESO WALIO PITIA

LAZIMA WANANCHI WALIPWE KWA MATESO WALIO PITIA

Наш австралийский гость посетил наш курорт на Занзибаре.. 🇹🇿

Наш австралийский гость посетил наш курорт на Занзибаре.. 🇹🇿

BOMOA BOMOA YAZUA VURUGU ZANZIBAR, WASHUHUDIA LIVE WAKIBOMOLEWA SEHEMU ZAO ZA BIASHARA

BOMOA BOMOA YAZUA VURUGU ZANZIBAR, WASHUHUDIA LIVE WAKIBOMOLEWA SEHEMU ZAO ZA BIASHARA

OPERESHENI KALI YA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO - MWANYANYA

OPERESHENI KALI YA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO - MWANYANYA

Mercedes S-Class W116 Production line 70s Inside Sindelfingen factory: Retro Assembly line (Germany)

Mercedes S-Class W116 Production line 70s Inside Sindelfingen factory: Retro Assembly line (Germany)

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

MADEREVA WA USAFIRI WA UMMA WATAKIWA KUTII SHERIA NA KUTUMIA KITUO CHA DALADALA GARDEN IPASAVYO

MADEREVA WA USAFIRI WA UMMA WATAKIWA KUTII SHERIA NA KUTUMIA KITUO CHA DALADALA GARDEN IPASAVYO

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

DK.MWINYI AWEKA HISTORIA MPYA,UMILIKI WA MASHAMBA YA MIKARAFUU.

DK.MWINYI AWEKA HISTORIA MPYA,UMILIKI WA MASHAMBA YA MIKARAFUU.

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Operation Maalum ya kuwaomdoa wafanyabishara waliopo pembezoni mwa Barabara nje ya soko la Kinyasini

Operation Maalum ya kuwaomdoa wafanyabishara waliopo pembezoni mwa Barabara nje ya soko la Kinyasini

WAZIRI NADIR ATOA ONYO KALI KWA WACHIMBAJI WA MCHANGA KASKAZINI UNGUJA

WAZIRI NADIR ATOA ONYO KALI KWA WACHIMBAJI WA MCHANGA KASKAZINI UNGUJA

Hili ndio balaa katika barabara zetu Zanzibar kutoka Amani kuelekea Kwerekwe @zanzibartowns

Hili ndio balaa katika barabara zetu Zanzibar kutoka Amani kuelekea Kwerekwe @zanzibartowns

ZIARA YA KISAKASAKA

ZIARA YA KISAKASAKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]