MSIMAMO MKALI WA MALEZI KWA WATOTO HUPELEKEA KUPATA CHANGAMOTO CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI.
Автор: IringaRRH TV
Загружено: 2025-08-25
Просмотров: 5655
Описание:
Daktari Alberto Mwapinga kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa anaendelea kutoa elimu kwa jamii ili watoto wasiweze kupata changamoto ya afya ya akili kwa aina ya malezi wanayopata kutoka kwa wazazi.
Mzazi mwenye msimamo mkali usioruhusu mtoto kuhoji wala kuuliza unaweza kumfanya mtoto kupata changamoto ya afya ya akili.
Hivyo Daktari huyo ametoa wito kwa jamii kulea watoto katika misingi ya urafiki inapobidi kuonya basi waonywe na inapobidi kuhoji na kuuliza maswali basi wapewe ruhusa hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: