ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HAKIKA HUU NI MWONGOZO THABITI WA BIASHARA UTAKAOBADILISHA MAISHA YAKO | Dr. Joel Nanauka

Автор: Hub of Wisdom Inc.

Загружено: 2025-04-08

Просмотров: 4782

Описание: "Nina Milioni 12, nifanye biashara gani?' Hilo sio swali sahihi." Anasema Dr. Joel Nanauka "Kwasababu kwenye kila biashara kuna mtu ambaye amefanikiwa na kuna mtu ambaye ameshindwa na hataki hata kuiona." Anaongeza "Unachokihitaji sio biashara sahihi itakayokulipa, zaidi sana unachohitaji ni kuwa mtu sahihi kwa hiyo biahara ili biashara unayoifanya iweze kukulipa."

Unajiuliza ni biashara gani inakufaa? Unataka kuanzisha biashara lakini hujui wapi pa kuanzia? Katika video hii, Dr. Joel Nanauka anakupa mwongozo wa kina, wa kipekee na wa kuaminika juu ya jinsi ya kuchagua biashara sahihi kwa maisha yako na namna ya kuikuza hadi kufanikiwa!

🔑 Utajifunza mambo muhimu kama:
✔️ Jinsi ya kutambua uwezo na shauku yako kabla ya kuchagua biashara
✔️ Vigezo vya kuchagua biashara yenye soko na inayodumu
✔️ Makosa yanayofanywa na watu wengi wanapoanzisha biashara
✔️ Njia rahisi za kuanza biashara bila mtaji mkubwa
✔️ Mbinu za kuiendesha biashara kwa mafanikio – nidhamu, masoko na huduma bora

Like & Share video hii kwa rafiki yako anayehitaji mwongozo huu
Comment hapa chini ni biashara gani unafikiria kuanzisha...
..........................................................................................................................
📺 👉 Usisahau ku-subscribe H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo!

-- Tunathamini maoni yako. Shiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media --

🔔 H.W TV - Be More!
#SeeYouAtTheTop #H.WMedia #Joel #Nanauka #Malengo #Biashara #Maono #Nanauka #wisdom #thewisetz #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #Congo #Zanzibar #personal #development #fedha #biashara #muda #mikakati

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HAKIKA HUU NI MWONGOZO THABITI WA BIASHARA UTAKAOBADILISHA MAISHA YAKO | Dr. Joel Nanauka

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Anthony Luvanda - 💰DAKIKA 20 ZITAKAZOBADILISHA NAMNA UNAVYOZALISHA #PESA NA KUSIMAMIA #UCHUMI WAKO

Anthony Luvanda - 💰DAKIKA 20 ZITAKAZOBADILISHA NAMNA UNAVYOZALISHA #PESA NA KUSIMAMIA #UCHUMI WAKO

AINA 4 ZA WATU WAKATI WA CHANGAMOTO    JOEL NANAUKA

AINA 4 ZA WATU WAKATI WA CHANGAMOTO JOEL NANAUKA

Maduro akanusha mashtaka dhidi yake New York. Katika Dira ya Dunia TV

Maduro akanusha mashtaka dhidi yake New York. Katika Dira ya Dunia TV

RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE WANAODAIWA KUMDHULUMU NYUMBA MAMA MJANE, AMWAGA MACHOZI

RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE WANAODAIWA KUMDHULUMU NYUMBA MAMA MJANE, AMWAGA MACHOZI

TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI11, 2026-WANNE WAFARIKI KWA AJALI NA 16 WAJERUHIWA TANGA

TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI11, 2026-WANNE WAFARIKI KWA AJALI NA 16 WAJERUHIWA TANGA

WASIOYAJUA HAYA HUCHELEWA KUTOBOA | Ongeza Nguvu Yako Ya Kuzalisha! ! Dr. Eliona Kimaro

WASIOYAJUA HAYA HUCHELEWA KUTOBOA | Ongeza Nguvu Yako Ya Kuzalisha! ! Dr. Eliona Kimaro

🛑LIVE: YANGA AZAM KUKIPIGA FAINALI MAPINDUZI CUP | OKELLO KUTUA YANGA | SIMBA KUMSAJILI CHAMA

🛑LIVE: YANGA AZAM KUKIPIGA FAINALI MAPINDUZI CUP | OKELLO KUTUA YANGA | SIMBA KUMSAJILI CHAMA

🔴#LIVE: [11.1.2026] - (ENG) KUWEKA MISINGI KUMI NA MBILI YA MWAKA 2026 | KUHANI MUSA

🔴#LIVE: [11.1.2026] - (ENG) KUWEKA MISINGI KUMI NA MBILI YA MWAKA 2026 | KUHANI MUSA

ZAIDI YA 80% YA MAFANIKIO YAKO YAPO HAPA 🔥 Dkt. Garvin Kweka AWEKA WAZI | IQ & EQ (Part 1) 💡

ZAIDI YA 80% YA MAFANIKIO YAKO YAPO HAPA 🔥 Dkt. Garvin Kweka AWEKA WAZI | IQ & EQ (Part 1) 💡

Umowa handlowa UE - Mercosur.

Umowa handlowa UE - Mercosur. "Rolnicy są podburzani". Emocje w studiu

Zima w przedwojennej Polsce. 40-stopniowe mrozy NIE były najgorsze (Kamil Janicki o historii)

Zima w przedwojennej Polsce. 40-stopniowe mrozy NIE były najgorsze (Kamil Janicki o historii)

THUBUTU KUWA SEHEMU YA 1% - ANZA KUAMKA HIVI UONE NAMNA MAISHA YAKO YANAGEUKA ~ Dr. Eliona Kimaro

THUBUTU KUWA SEHEMU YA 1% - ANZA KUAMKA HIVI UONE NAMNA MAISHA YAKO YANAGEUKA ~ Dr. Eliona Kimaro

Pęknięcia w obozie władzy. Koalicja Tuska coraz bliżej kryzysu | Salonik Ziemkiewicza 2/3

Pęknięcia w obozie władzy. Koalicja Tuska coraz bliżej kryzysu | Salonik Ziemkiewicza 2/3

SIO SIRI TENA 🔥 KILA MWANAMKE LAZIMA APITIE HAPA | USIPOTAMBUA NDIO CHANGAMOTO ~ Madam Leila

SIO SIRI TENA 🔥 KILA MWANAMKE LAZIMA APITIE HAPA | USIPOTAMBUA NDIO CHANGAMOTO ~ Madam Leila

LIVE:🔴: HAKUNA BONDIA YOYOTE ANAYEMUWEZA MWAKINYO | KOCHA WA SIMBA NJIA ILEE  - 11  JAN 2026

LIVE:🔴: HAKUNA BONDIA YOYOTE ANAYEMUWEZA MWAKINYO | KOCHA WA SIMBA NJIA ILEE - 11 JAN 2026

MWONGOZO WA BIASHARA USIOFELI 🔥 Kanuni Zitakazobadili Maisha Yako | Dr. Joel Nanauka

MWONGOZO WA BIASHARA USIOFELI 🔥 Kanuni Zitakazobadili Maisha Yako | Dr. Joel Nanauka

STAREHE KUBWA ZAIDI YA MWANAUME WASIYOIJUA WANAWAKE WENGI ~ Dr. Mwaka

STAREHE KUBWA ZAIDI YA MWANAUME WASIYOIJUA WANAWAKE WENGI ~ Dr. Mwaka

Mtumishi Zawadi Mwaibako - Jumapili | 11-01-2026

Mtumishi Zawadi Mwaibako - Jumapili | 11-01-2026

WANAJESHI WA MAREKANI WAMUONYA TRUMP KUWA ASIISHAMBULIE IRAN KWA SASA

WANAJESHI WA MAREKANI WAMUONYA TRUMP KUWA ASIISHAMBULIE IRAN KWA SASA

KINACHOCHELEWESHA WENGI KUSTAWI NA KUFANIKIWA NI HIKI ~ Dr. Kimaro | Ongeza Nguvu Yako Ya Kuzalisha!

KINACHOCHELEWESHA WENGI KUSTAWI NA KUFANIKIWA NI HIKI ~ Dr. Kimaro | Ongeza Nguvu Yako Ya Kuzalisha!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]