Rafiki wa Msuya aliyefiwa na watoto wanne kwenye ajali Bagamoyo aomba wenza ndugu wazikwe pamoja
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-08-03
Просмотров: 21354
Описание:
Rafiki wa Familia ya Msuya ambayo imepatwa na msiba wa watoto wao wanne waliofariki kwenye ajali ya gari, iliyotokea jana Jumatano usiku katika kijiji cha Mapatano, Kata ya Mbwewe, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kamishna Mstaafu wa Polisi Kassim Muhija ameomba familia za wenza wa watoto wa kike watatu waliofarikki kwenye ajali hiyo zikubaliane ili ndugu hao wazikwe pamoja ili kuwapunguzia machungu wazazi waliofiwa na watoto wao.
Kamishna Mstaafu wa Polisi Kassim Muhija ametoa ombo lake nyumbani kwake Dodoma leo Alhamis, Agosti 3, 2023.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: