ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TEKNOLOJIA YA KISASA KUWAVUTA VIJANA KWENYE KILIMO

Автор: RUVUMA RS

Загружено: 2026-03-09

Просмотров: 53

Описание: Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Wakili Mary Gasper Makondo, amefungua mafunzo ya kozi za zana za kilimo na kilimo cha umwagiliaji katika Chuo cha Ufundi VETA Songea, ambapo amesema mafunzo hayo ni sehemu ya juhudi za serikali kuimarisha sekta ya kilimo kama nguzo kuu ya uchumi.

Amesema matumizi ya zana bora za kilimo ni njia muhimu ya kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za kilimo akisisitiza kuwa kilimo ni ajira kubwa, kwani zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wa wanajishughulisha na kilimo.

Ameongeza kuwa mafunzo hayo yataleta mapinduzi makubwa katika kilimo kwa kuongeza ubunifu, ujuzi na mtazamo chanya wa wananchi katika uzalishaji. Ikiwa lengo kuu ni kumtoa kijana katika jembe la mkono na kumuwezesha kutumia teknolojia ya kisasa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TEKNOLOJIA YA KISASA KUWAVUTA VIJANA KWENYE KILIMO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

© 2025 ycliper. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]