Kiswahili Elimu ya watu wazima Somo la 54: Usemi halisi
Автор: ABWAAN
Загружено: 2024-02-22
Просмотров: 590
Описание:
(Mwalimu Rehema)
Usemi halisi pia huitwa usemi wa moja kwa moja. Katika usemi huu maneno ya msemaji hunukuliwa moja kwa moja jinsi alivyoyatamka kutoka kinywani mwake. Tupate sentensi zilizo katika usemi halisi.
English translation:
Direct speech is a word-to-word repetition of what the speaker or writer has conveyed. In other words, it is a way in which you can report the exact words of the speaker. Let's get sentences that are in direct speech.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: