ROSE MUHANDO X ABIGAIL ASUKULU MWANGAZA-(OFFICIAL MUSIC 4K VIDEO)
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 24949
Описание:
#trending @TopTrending @youtubecreators @tiktokcold. #kenyacitizentv @ChurchillTelevision @tiktok #toptrending #gospelmusic #citizentv #newmusic
This is the official video for MWANGAZA
Abigail Asukulu ft Rose Muhando Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Abigail Asukulu
For Bookings: [email protected]
@rosemuhandoofficial5676@AbigailAsukulutagram - @AbigailAsukuluToktok@AbigailAsukulu— @AbigailAsukulu - @AbigailAsukuluMWANGAZA
Heee hee hee heiiii
Hofu ilinifanya ni kwameee,
baraka nisizione kelele
zakuambiwa sitawezaa
zilinitawala, nikawa kituko
mbele zao wasio aminiii,
tena walinicheka sana
wakisema,Mungu
wangu hayupoo Zilipo
anza dalili za kuinuka
ndipo nika gundua
niko salaama, woga
ukaniondoka, nika jua
yupo mwokozi nitapo
kwamaa,
Hipo atua zaidi ya mwisho
wa safari yangu, ipo
nuru zaidi ya mwisho
wa kuona kwangu,
Kipo chanzo zaidi
cha mbele ya ukomo
waangu hata pale
naposema siwezi,
hipo sababu ya
ushindi wangu.
Mwangaza hupo, hupo
hatagiza likitanda,
sitochoka kuamini
najua Mungu yupo,
yupo" na ananipenda.
Mwangazaaa hupo,
hupo" hatagiza likitanda,
sitochoka kusubiri najua Mungu
yupo, yupo" na ananipenda.
Mkono, mkono, mkono
uliyabeba Yaliyo nielemea,
taratibu mbele nasonga,
ijapokua nachechemea, haa
na navuka moto, ilinifike
ni nakoelekea; jaribu
linachoma kama moto,
lakini nyuma sita rejea,
atanibembeleza kama
mtoto,Wala sitaelemewa,
Wala Sina upwekeee,
mbele naendelea, malaika
wa zamu nitetee adui
asinikaribie, asikae
barazani achekee,
kwa mikono yako
nikumbatie, aibu
na ziwashike fedheha
na ziwaelemee eeeh
Mwangaza hupo,
hupo hatagiza likitanda,
sitochoka kuamini najua
Mungu yupo "yupo
na ananipenda.
Mwangazaaa hupo,
hupo" hatagiza likitanda,
sitochoka kusubiri najua
Mungu yupo, "yupo"
na ananipenda.
Anajibu kwa wakati,
kumuamini sijakosea,
lolote halinipati, Baba
yupo ananitetea x2
Mwangaza hupo,
hupo" hatagiza likitanda,
sitochoka kuamini najua
Mungu yupo "yupo"
na ananipenda.
Mwangazaaa hupo,
hupo" hatagiza likitanda,
sitochoka kusubiri najua
Mungu yupo, "yupo
na ananipenda x2.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: