YANGA SC 1-0 BANDARI FC | HIGHLIGHTS | MWANANCHI DAY 12/09/2025
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 49080
Описание:
BENJAMIN MKAPA STADIUM
Nyota mpya wa Yanga, Celestin Ecua raia wa Chad amefunga goli pekee lililowapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Bandari FC ya Kenya katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi.
Shughuli nzima imepigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: