MAMA KANUMBA AANIKA VITU VYOTE ALIVYOACHIWA NA MWANAYE
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-05-10
Просмотров: 1453776
Описание:
Flora Mtegoa wengi wanamjua kama Mama Kanumba, hivi karibuni alieleza kwa undani namna anavyoishi nyumbani kwake, pamoja na kuonesha baadhi ya vitu vilivyokuwa vikitumiwa na marehemu Kanumba, ikiwa ni nguo, viatu, gitaa, kitanda na vingine vingi.
Aidha, mama huyo ambaye ni mzaa chema, alisema amelazimika kubaki na vitu hivyo, ili ibaki kuwaa kumbukumbu muhimu maishani mwake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: