#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-08-06
Просмотров: 2767
Описание:
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt HUSSEIN MWINYI ametia saini ya mradi wa ujenzi wa Barabra ya Mjini Unguja huku akiwataka wananchi kuwa wavumilivu wakati mradi huo unaanza kutekelezwa
Hafla ya utiaji wa saini wa ujenzi wa barabara ya mjini ulifanyika Ikulu Zanzibar ambapo umepangwa kutekelezwa na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar hivi karibuni kupitia Kampuni ya China Civil Engeneering Construction Cooperation (CCECC) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa China.
Mkataba huo wa Ujenzi wa Barabara za Mjini ulitiwa saini na Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi KHADIJA KHAMIS RAJAB ambaye alitia siani kwa niaba ya serikali ya mapinduzi ya na Zhang Junle ambaye ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya CCECC alitia saini kwa niaba ya Kampuni yake
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: