Gogo Ashley - Sukari Guru (Visualizer)
Автор: Gogo Ashley
Загружено: 2025-03-21
Просмотров: 33061
Описание:
Executive Producer: Deep Core Records
Performed by: Gogo Ashley
Written by: Philip Munyao Mutuku & Dennis Njoroge Wambui
Audio Produced, Mixed & Mastered by: Ihaji Made It
Styling by: Yobi Denzel
Visualizer by: Director Rahim
Stream "Sukari Guru" on all music platforms https://onerpm.link/sukariguru
Stream more of Gogo Ashley's works on Spotify https://open.spotify.com/artist/4vpwe...
LYRICS
[Intro]
Gogo Ashley
Eeeh, mmhh
[Verse 1]
Usipojileta, popote ulipo ntakufikia
Usiku wa manane ntaona njia, hata bila tochi na mwezi
Nataka ukicheka, ikuwe ni me unafikiria
Tena ukinimiss unanipigia, kukata simu yako siwezi
Hisia telezi ndio zinafanya kila siku I fall for you
Kilema wa mapenzi siwezi simama if I don’t get to hold on you
Wengine waliniita needy, but you understand my feelings
Mtu mzima siamini ushanigeuza mtoto boo
[Chorus]
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
[Verse 2]
Sitajaribu kutoroka, hapa tuko kunabamba tu
Why would I run from you, nyumbani ni we my boo
Hauwezi kunichosha, mzigo wako nitaubeba tu
Nikitaka kupumzika, nipe kifua nilale boo
Wa ubavu wako ni mimi, I’m in your corner amini
Umekuwa na wengi, lakini haujakuwa na mimi
Wa ubavu wako ni mimi, I’m in your corner amini
Umekuwa na wengi, lakini haujakuwa na mimi
[Chorus]
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
[Bridge]
Katika, katika, katika oh nana
Unaeza gusa hapa kuna vile inanibamba
Katika, katika, katika oh nana
Katika, katika, katika oh nana
Katika, katika, katika oh nana
Unaeza gusa hapa kuna vile inanibamba
Katika, katika, katika oh nana
Katika, katika, katika oh nana
[Chorus]
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Utamu, utamu, utamu tupu
Ukionja, ni sukari guru
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: