Patrick Kubuya - Msalaba (Live Music Video)
Автор: Patrick Kubuya
Загружено: 2025-10-31
Просмотров: 96942
Описание:
Wakolosai 1:20-22
20 na kwamba kwa njia ya mwanae vitu vyote vilivyoko duniani na vilivyoko mbinguni vipatanishwe na Mungu, kwa ajili ya damu yake iliyomwagwa msalabani kuleta amani.
21 Hapo kwanza ninyi mlikuwa mmefarakana na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya mawazo na matendo yenu maovu. 22 Lakini sasa Mungu amewapatanisha naye kwa njia ya mwili wa Kristo katika kifo, ili awaweke mbele yake mkiwa watakatifu, bila doa wala lawama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: