Mbunge wa Arumeru Mashariki: kwenye Kata yangu tulikuwa tunazika kila siku || sababu ni corona
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-07-23
Просмотров: 1144
Описание: Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Danielson Pallangyo amefika nyumbani kwa marehemu Anna Elisha Mgwira aliyefariki alhamisi ambapo ameleza jinsi alivyoenda kumsalimia 2015 baada ya kushindwa ubunge na yeye kushindwa Uraisi kupitia chama chake cha Act wazalendo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: