Live ▶|| Ibada Ya Morning Glory | 28 - 01 - 2025
Автор: Azania frontTv
Загружено: 2025-01-27
Просмотров: 487
Описание:
Karibu katika Ibada ya Masifu ya Asubuhi kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.
🔴SOMO: KUVUNA NDANI YA 2025
~
▶️MHUBIRI: MWL. MUSSA MUSSA
......................................................
KUMBUKUMBU LA TORATI 11: 1 0 - 14
10 Kwa kuwa nchi mwingiayo kuimiliki, si mfano wa nchi ya Misri mlikotoka, uliyokuwa ukipanda mbegu zako humo na kuinywesheleza kwa mguu wako, kama shamba la mboga;
11 lakini nchi mwivukiayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua ya mbinguni;
12 nayo ni nchi itunzwayo na BWANA, Mungu wako; macho ya BWANA Mungu wako, ya juu yake, tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka.
13 Tena itakuwa, mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA, Mungu wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote,
14 ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika, na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako, na divai yako, na mafuta yako.
ZABURI 91: 14
14. Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
YOHANA 3: 16
16. Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
2 WAFLME 4: 1 - 6
1. Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
2. Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.
3. Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.
4. Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge.
5. Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
6. Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
.....................
👇👇👇
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:
/ kkkt_azaniafront_cathedral
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook:
/ kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour #morningglory #sundayservice #lutheran
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: