ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kaya 23 zafungasha NGORONGORO wabomoa nyumba kwa hiari, waelekea MSOMERA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2022-06-15

Просмотров: 5776

Описание: Baada ya serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kukamilisha maandalizi yote ya msingi katika makazi mapya ya wakazi wenyeji wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro,wakazi hao kwa hiari yao wenyewe wameanza rasmi kufungasha mizigo yao tayari kwa kuelekea kijiji cha Msomera kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga,

Kwa pamoja wakazi hao wameishukuru serikali kwa kuwapa fidia na usafiri wa mali zao ikiwemo mifugo ,huku wakionekana kuwa na tumaini jipya la maisha mapya huko msomera. Aidha Mkuu wa mkoa wa arusha John Mongela amesema zoezi hilo kwa awamu ya kwanza litahusisha jumla ya kaya 23.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kaya 23 zafungasha NGORONGORO wabomoa nyumba kwa hiari, waelekea MSOMERA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SIMULIZI ZA  MAISHA YA MSOMERA KUTOKA KWA WAKAZI WALIOHAMA KWA HIARI HIFADHI YA NGORONGORO

SIMULIZI ZA MAISHA YA MSOMERA KUTOKA KWA WAKAZI WALIOHAMA KWA HIARI HIFADHI YA NGORONGORO

Ukweli Nyuma ya Mgogoro wa Ardhi ya Msomera | Wenyeji dhidi ya Wahamiaji kutoka Ngorongoro

Ukweli Nyuma ya Mgogoro wa Ardhi ya Msomera | Wenyeji dhidi ya Wahamiaji kutoka Ngorongoro

MELI NYINGINE YASHAMBULIWA KWENYE MFEREJI WA HORMUZ

MELI NYINGINE YASHAMBULIWA KWENYE MFEREJI WA HORMUZ

USIYOYAJUA KUHUSU WAMASAI WA NGORONGORO WALIOHAMISHIWA MSOMERA,TANGA

USIYOYAJUA KUHUSU WAMASAI WA NGORONGORO WALIOHAMISHIWA MSOMERA,TANGA

UTASHANGA FAMILIA YA JAJI ILIVYOBADILISHA NYUMBA HII MSOMERA, BABA AKATAA DUME WAWILI

UTASHANGA FAMILIA YA JAJI ILIVYOBADILISHA NYUMBA HII MSOMERA, BABA AKATAA DUME WAWILI

BABA AVUNJA NYUMBA ZAKE 2 ILI WATOTO WAKE WASIISHI, ADAI WALITAKA KUMUUA

BABA AVUNJA NYUMBA ZAKE 2 ILI WATOTO WAKE WASIISHI, ADAI WALITAKA KUMUUA "WALINIFUNGIA NDANI"

Angalia msururu wa Ngorongoro ulivyotua Msomera

Angalia msururu wa Ngorongoro ulivyotua Msomera

UKWELI JUU ya WANAOHAMA NGORONGORO HUU HAPA -WENYEWE WASEMA -

UKWELI JUU ya WANAOHAMA NGORONGORO HUU HAPA -WENYEWE WASEMA - "HATULAZIMISHWI, TUNAONDOKA WENYEWE"..

🔴#LIVE: Ujenzi wa Nyumba 5000 Msomera, Hali ilivyofikia Hivi sasa

🔴#LIVE: Ujenzi wa Nyumba 5000 Msomera, Hali ilivyofikia Hivi sasa

MSOMERA yakijani MSOMERA yenye Uhuru Kamili kwa Maisha ya Binadamu

MSOMERA yakijani MSOMERA yenye Uhuru Kamili kwa Maisha ya Binadamu

MAMA LUKUMAII APAGAWA KUPATA HATI, HEKA 5 ZA KULIMA MSOMERA TOFAUTI NA NGORONGORO

MAMA LUKUMAII APAGAWA KUPATA HATI, HEKA 5 ZA KULIMA MSOMERA TOFAUTI NA NGORONGORO

Иран бомбит дипмиссии США, ранены десятки американских солдат, бомбят Дубай

Иран бомбит дипмиссии США, ранены десятки американских солдат, бомбят Дубай

Hili hapa jipya kutoka kwa wananchi wa Msomera

Hili hapa jipya kutoka kwa wananchi wa Msomera

WANANCHI WA NGORONGORO WAONESHA NYUMBA ZAO, WAONGEA KUHUSU KUKUBALI KUHAMISHWA

WANANCHI WA NGORONGORO WAONESHA NYUMBA ZAO, WAONGEA KUHUSU KUKUBALI KUHAMISHWA

OLE SENDEKA AFUNGUKA SAKATA LA LOLIONDO NA NGORONGORO /

OLE SENDEKA AFUNGUKA SAKATA LA LOLIONDO NA NGORONGORO / "MILA ZETU HAZIRUHUSU KUBISHANA NA MWANAMKE"

USICHOKIJUA KUHUSU WANAOHAMIA MSOMERA KUTOKA NGORONGORO, JKT WANAENDESHA OPARESHENI KWA MIEZI 6

USICHOKIJUA KUHUSU WANAOHAMIA MSOMERA KUTOKA NGORONGORO, JKT WANAENDESHA OPARESHENI KWA MIEZI 6

Familia za Ngorongoro zaanza rasmi safari ya kuelekea Msomera

Familia za Ngorongoro zaanza rasmi safari ya kuelekea Msomera

🔴 #LIVE :Mvutano mkali sakata la Ngorongoro, Ole Sendeka, Matiko na Kibajaji, Ndumabaro wawasha moto

🔴 #LIVE :Mvutano mkali sakata la Ngorongoro, Ole Sendeka, Matiko na Kibajaji, Ndumabaro wawasha moto

Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи

Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи

JKT WAONGEZA KASI YA UJENZI NYUMBA 2500 MSOMERA,KAMANDA AFUNGUKA

JKT WAONGEZA KASI YA UJENZI NYUMBA 2500 MSOMERA,KAMANDA AFUNGUKA "AWAMU HII TUNAJENGA NYUMBA 5000"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]