GHARAMA YA KUINULIWA KWAKO | REV. SADIKI HEZRON | TAG DCC NH'ONG'ONHA
Автор: Doxor Christian Centre(TAG DCC)
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 203
Описание:
Ipo gharama ya kulipa kuuelekea ukuu wako, ndoto zako, kutimiza Kusudi lako, Jenga nidhamu kubwa, yenye uvumilivu, unyenyekevu na ustahimilivu ili uweze kuyaona makuu yaliyopo mbele yako. Tabia yako inaweza kuwa msingi wa kujenga kesho njema au mbaya.
Karibu kusikiliza Mahubiri haya toka Kwa Mtumishi wa Mungu Rev. Sadiki Hezron .
usiache kusubscribe, like na kucomment.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: