Farm Up, with Koudijs! Kuachisha kunyonyesha
Автор: Koudijs Animal Nutrition Africa
Загружено: 2023-02-21
Просмотров: 1536
Описание: Video hii ya fuga na Koudijs, inaelezea umuhimu wa kuwaachisha nguruwe kunyonya kwa wakati unaofaa. Mara nyingi wafugaji huchagua kuchelewesha kuwaachisha kwa kuhofia watadumaa . Nguruwe mama huwanyonyesha hadi dhoofika .Kutokana na kudhoofika hataingia kwenye joto ndani ya siku tano baada ya kuacha kunyonyesha. Nguruwe mama wenye afya atakuwa katika joto siku tano baada ya kacha kunyonyesha. Muda wa kunyonyesha una athari nyingi kwa idadi ya nguruwe watoto watakao zaliwa kwa jike moja kila mwaka. Muda mrefu zaidi wa kunyonyesha, idadi chache zaidi ya vitoto kwa kila nguruwe kwa mwaka Tembelea wavuti yetu https://www.koudijs.co.tz/ kwa habari Zaidi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: