KIVULI CHA NDOTO EPISODE: 01
Автор: SAUTI HUB
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 180
Описание:
Simulizi ya Kweli na ya Kusisimua ya Binti Neema. Neema, binti wa
kimaskini kutoka Manzese, anajikuta katika wakati mgumu kumuuguza
mama yake. Katika kutafuta riziki, anakutana na Bwana Dickson, tajiri
anayempa kazi rahisi yenye malipo makubwa: Kuchukua mkoba mmoja
Kariakoo. Lakini kumbe huo si mkoba wa kawaida, ni mtego wa kifo!
Je, nini kilimo ndani ya mkoba huo? Ungana nami katika sehemu hii ya
kwanza. #simulizizakusisimua #Kiswahili #LoveStory #Action #Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: