Dengu za Nazi
Автор: jikonajane
Загружено: 2020-10-20
Просмотров: 17851
Описание:
MAHITAJI
Kikombe 1 dengu kavu
Kijiko 1 cha chakula mafuta ya nazi
Kikombe 1 tui la nazi siyo zito sana
Nyanya 2-3 za wastani
Kitunguu maji 1 cha wastani
Kijiko 1 cha chakula nyanya ya kopo
Kijiko 1 cha chai binzari ya pilau
½ kijiko cha chai coriander powder
Chumvi kwa kuonja
¾ kijiko cha chai tangawizi
Vijiko 2 vya chakula majani ya kotimiriri au giligilani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: