CHADEMA Yakosoa Vikali Mashahidi wa Jamhuri Kesi ya Lissu "Ni Usahidi wa Kutunga"
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 5675
Описание:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kuwa aina ya mashahidi wa upande wa mashtaka kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama hicho, wakieleza kuwa kuna ishara ya kuwa ushahidi huo wa 'kubumba' wa kutunga.
Hayo ameyaeleza leo Februari 18, 2026 na John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mara baada ya kesi hiyo kuahirisha.
Shauri hilo linalosikilizwa na jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru akishirikiana na Jaji James Karayamaha na Jaji Ferdinand Kiwonde. Upande wa mashtaka umewasilisha shahidi wa 11 aliyetambuliwa kama P7.
Heche, amesema kuwa mtiririko wa ushahidi unafanana kwamba kunaimarisha madai yao kwamba ni wa kutunga.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: