Familia Makueni yatafuta haki baada ya ndugu kufariki baada ya kudaiwa kujeruhiwa na polisi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 1644
Описание: Familia moja kaunti ya Makueni inataka majibu ya kifo cha ndugu yao mwenye umri wa miaka 28, ambaye wanadai alipigwa na kujeruhiwa na polisi alipokuwa katika kituo cha polisi. Familia inasema marehemu alikuwa hajitambui alipoachiliwa kutoka kituo cha polisi cha nunguni na baadaye kufariki kutokana na majeraha ya kichwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: