Ukweli kuhusu dawa za asili za kubana uke
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-02-10
Просмотров: 21019
Описание:
Baadhi ya wanawake wa Pwani ya Afrika Mashariki hutumia mbinu za asili kubana uke hasa baada ya kujifungua, wakiamini kuwa hurejesha hali ya awali, huongeza msisimko wa ndoa, na kuboresha usafi wa mwili. Lakini, je, ni tiba ya asili au hatari iliyojificha ? Tupa maoni yako !
#AfyaYaWanawake #Uzazi #Ndoa #ManukatoAsili #TibaAsili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: